Faida za papai kwa muhtasari
- Papai huboresha mmeng’enyo wa chakula.
- Husaidia kuondoa tatizo la choo kigumu.
- Papai huzuia kansa / saratani.
- Huboresha kinga ya mwili.
- Hupunguza maumivu kwa wanawake waliopo Katika hedhi.
- Hupunguza lehemu Mbaya mwilini.
- Husaidia kupunguza uzito
- Papai linasaidia macho kuona vizuri.
- Papai hulainisha ngozi

